Breaking News

Your Ad Spot

Jul 19, 2013

PROFESA LIPUMBA AMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo amekutana na Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya siasa na uchumi nchini. zifuatazo ni pichani za tukio hilo Rais Kikwete akiwa na Professa Lipumba katika hatua  tofauti kama zilivyopigwa na Mpiga Picha Freddy Maro wa Ikulu



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages