Breaking News

Your Ad Spot

Jul 19, 2013

UCHIMBAJI MADINI AINA YA CHUMA CHAKAVU MAGOMENI


1na2: Wakazi wa Jijini Dar es Salaam, wakichimba kutafuta mabomba ya vyuma na vyuma vingine kwa ajili ya biashara ya vyuma chakavu, katika eneo la Magomeni Mapipa, leo, ambalo ujenzi wa barabara unaendelea. Hata hivyo uchimbaji huo unaonekana kuwa unaweza kuhatarisha maisha yao kwa  maporomo ya udongo. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages