Breaking News

Your Ad Spot

Jul 19, 2013

UHURU WA KUABUDU

Kufuatia uhuru wa kuabudu kuheshimika Tanzania, wanaokula mchana katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani wanao uhuru wa kuandaa na kula bila kubughudhiwa na mtu. Pichani, Mamalishe akisonga ugali kwa ajili ya wateja wake, leo mchana, katika eneo la Manzese Darajani, jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages