Breaking News

Your Ad Spot

Jul 18, 2013

WAZIRI MWAKYEMBE APATA TUZO

Mkuu wa Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji(NIT) Dk.Zacharia Mganilwa (kushoto)  akimkabidhi tuzo Waziri wa Uchukuzi, Dk.Harrison Mwakyembe(kulia) kwa mchango wake  mkubwa  wa kuboresha sekta ya reli  nchini kwa niaba ya kampuni  ya Mwandi Tanzania kwenye  hafla ya makabidhiano  iliyofanyika leo  jijini Dar es Salaam.  Picha na Lorietha Laurence

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages