.

ANSWAAR SUNNA WASWALI SWALA YA IDD EL FITRI KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI

Aug 8, 2013

 Waumini wa  Dhehebu la Kiislam la Answaar sunna wakimsikiliza  Sheikh Juma omary Poli Ambae ni kiongozi mkuu wa Jamaat  Answar sunna Tanzania,na Mjumbe wa umoja wa wanazuoni wa Kiislamu Tanzania mara baada ya Swala ya Idd el fitri katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam jana ,


 Sheikh Juma omary Poli,Ambae ni kiongozi mkuu wa Jamaat  Answar sunna Tanzania,na Mjumbe wa umoja wa wanazuoni wa Kiislamu Tanzania,Akitoa mawaidha kwa waumini wake  mara Baada ya swala ya Idd el fitri katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam. 
 Mama aliefika kwenye swala ya Idd el fitri katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.  akiwa na  watoto

Waumini wa dini  hiyo baada ya swala wakiwa tayari kuondoka katika pipiki ya matairi 3 (picha zote na www.ujijirahaa.blogspot.com)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª