.

PROMOSHENI YA TIGO YA MILIKI BIASHARA YAKO YAZIDI KUNUFAISHA WENGI

Aug 8, 2013

Meneja chapa wa kampuni ya tigo ,Wiliam Mpinga akimkabidhi funguo mmoja ya  wandishi wa droo ya tatu ya Promotion  ya  miliki biashara yako  Halid Shabaan wakati makabidhiano yaliofanyika jijini Dar es SalaamMeneja chapa wa kampuni ya tigo ,Wiliam Mpinga akimkabidhi funguo mmoja ya  wandishi wa droo ya tatu ya Promotion  ya  miliki biashara yako  Idde Mohamed  wakati makabidhiano yaliofanyika jijini Dar es Salaam
 Meneja chapa wa kampuni ya tigo ,Wiliam Mpinga akizungumza na wandishi wa  wakati wa kutoa bajaji kwa washindi wa droo ya tatu ya Promotion  ya  miliki biashara yako na bajaji walipokabidhiwa  jijini Dar es Salaam
Baadhi ya washindi wa promotion ya miliki Biashara yak na tigo wakijaribu kuendesha bajaji mara baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª