.

AZAM YALALA KWA YANGA, YACHAPWA 1-0 PAMBANO LA NGAO YA JAMII

Aug 17, 2013

 Jerson Tegete wa Yanga (kushoto) akipambana na  David Mwantika wa Azam
 Didier Kavumbagu wa yanga akimtoka Erasto Nyoni wa Azam
David Luhende wa Yanga (kulia) akimtoka Erasto Nyoni wa Azam. katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Azam FC imelala kwa bao 1-0. PICHA ZAIDI ZA MPAMBANO HUO>BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª