.

MKUU WA UTAWALA MAKAO MAKUU YA ASP NA AFISI KUU YA CCM KISIWANDUI AZIKWA ZANZIBAR

Aug 18, 2013


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wengine wa Serikali wakati wa kumswalia  Marehemu Mzee Ased Ramadhan.   Marehemu alikuwa Mtumishi wa Chama cha ASP na CCM, ambapo alishika nafasi mbali mbali zikiwemo Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya ASP na Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.{Picham na Ramadhan Othman Ikulu.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª