.

BALOZI MDOGO WA OMAN AJITAMBULISHA KWA DK. SHEIN LEO

Aug 7, 2013

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza  na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª