.

PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDONI

Aug 7, 2013

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na baadhi ya watumishi  wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London baada ya kuwawsili kwenye ubalozi huo kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6, 2013.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na Watoto Tanzania nchini Uingereza uliopo London  kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6,2013.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  baadhi ya Watanzania waishio Uingereza  kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6,2013. Kushoto ni Mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Baadhi ya Waztanzania waishio London wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza  nao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo Londoni Agosti 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na  Dr.Abdallah Saleh na Mohamed  na Mohame Ali Saleh  ambao walikuwa ni miongoni mwa Watanzania waishio Uingereza waoshiriki katika mkutano  ulioitishwa na Waziri Mkuu kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na badhi ya Uingereza  baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti  6,2013.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª