.

RAIS KIKWETE AMJULIA HALI JOHN CHEYO HOSPITALI

Aug 7, 2013

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa  Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo. (Picha Freddy Maro)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช