.

BONDIA WA MAREKANI PHIL WILLIAMS ATUA NCHINI KUMKABILI CHEKA IJUMAA HI

Aug 28, 2013

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akiwa na bondia wa Marekani Phil Williams, baada ya bondia huyo kutua nchini usiku wa kuamkia leo, kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika siku ya ijumaa,Agosti 30, mwaka huu, katika ukumbi wa Diamon Jubilee jijini Dar es Salaam. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช