.

RAIS WA ZANZIBAR AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI, AWAAPISHA LEO

Aug 20, 2013

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla
iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haji Omar Kheir,kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haroun Ali Suleiman, kuwa Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika
Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la  Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Zainab Omar Mohamed,kuwa  Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana  Wanawake na Watoto,katika
hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª