.

RAIS WA ZANZIBAR YUPO UHOLANZI

Aug 27, 2013

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (kushoto) akifuatana na Makamo wa Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bamdari ya Rotterdam nchini Uholanzi wakati  alipotembelea Bandari hiyo kuona  leo (Picha na Ramadhan Othmann,Uholanzi,)
Baadhi ya Viongozi walioungana katika ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, wakiwa katika Ofisi ya bandari ya Rotterdam Nchinbi Uholanzi wakiaptiwa maelezo mbali mbali ya kiutendaji. {Picha na Ramadhan Othmann,Uholanzi,

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª