.

MTANZANIA ALA KIAPO MALAWI KUWA KATIBU MTENDAJI MPYA WA SADC, JK AMPONGEZA

Aug 18, 2013

Katibu Mtendaji mpya wa Jumuia ya SADC Dk.Stergomena Taxi,  akila kiapo mbele ya jaji mkuu wa Malawi Anastazia Msoza wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe Malawi leo (picha na Freddy Maro)
 Jaji Anastazia Msonza na baadhi ya viongozi kinamama, wakimpongeza Dk.Taxi baada ya kuapishwa.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dk. Stergomena Taxi wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi leo kikao hicho kimeisha leo.(picha na Freddy Maro

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª