.

WAOMBOLEAJI WAMIMINIKA KUMFARIJI MZEE MANGULA KUFUATIA KIFO CHA BINTI YAKE NEMELA

Aug 18, 2013

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Asha-Rose Migiro akimfariji, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula alipofika kumpa pole kufuatia kifo cha Binti yake, Nemela Mangula, Masaki jijini Dar es Salaam.
 Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Taifa Ndugu Mboni Mhita akisaini kitabu cha Maombolezo ya Msiba wa Nemela P. Mangula Mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Bara Ndugu Mboni Mhita
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Uchumi na fedha Mama Zakhia Mengi akisaini Kitabu cha  Maombolezo.

Mama Asharose Migiro Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa SUKI akiwa katika maombolezo ya msiba wa Nemela P Mangula

Paul Christian Makonda akisaini Kitabu Cha Maombolezo ya Msiba wa Mtoto wa  Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Bara Mzee Philip Mangula.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Mecky Sadick akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Nemela Mangula mtoto wa Makama Mwenyekiti Bara Mzee Philip Mangula.

Mama Salma Kikwete,Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Nemela.


Baadhi ya waombolezaji katika  msiba wa Nemela Mangula

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช