.

KAMATI MAALUM YA CCM YAKUTANA ZANZIBAR

Aug 18, 2013

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi, Makamo Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Chama alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui, kuongoza Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Taifa, kilichofanyika leo Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi, Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiendesha Mkutano wa Siku Moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM,katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Taifa,kilichofanyika leo Mjini Zanzibar,wakifuatilia kwa makini mada wakati kikao hicho kikiendelea chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani).{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu).
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya CCM Taifa NEC,wakiwa tayari kuweka kumbu kumbu ya michango mbali mbali itakayotolea kufuatia mada zitakazotolewa katika Kikao cha siku moja chini ya mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani).{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª