Alhaji Yusufu Saidi Mfinanga wa Kibaha Njuweni Pamoja na Mke wake Mama Mfinanga amewaomba Watanzania kudumisha amani na upendo kwa kuondoa tofauti zetu za kidini kisiasa kwani kufanya hivyo mwenyezi mungu ataendelea kuijalia amani na baraka iliyo kuwepo hapa nchini kwani kupendana kutaleta maendeleo katika nchi tuswali na kuheshimu mamlaka za serekali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha amani upendo na utii
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269