.

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA NA KUWA MGENI RASMI BARAZA LA EID KITAIFA MKOA TABORA

Aug 9, 2013

 Waumini wa Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa katika Msikiti wa Manyema Mkoani Tabora leo. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Msikiti wa Manyema Mkoani Tabora, kwa ajili ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa kabla kuzungumza katika Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Manyema Mkoani Tabora, baada ya kushiriki nao katika Swala ya Ijumaa, leo kabla kuzungumza katika Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Manyema Mkoani Tabora, baada ya kushiriki nao katika Swala ya Ijumaa, leo kabla kuzungumza katika Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, wakati wakiondoka katika Msikiti wa Manyema mkoani Tabora baada ya kushiriki katika Swala ya Ijumaa. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka katika Ukumbi wa Chuo cha Uhaziri, baada ya kuzumza katika Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora leo. Picha na OMR>>>HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS KWENYE BARAZA LA EID BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª