.

WAZIRI MKUU KATIKA ZIARA MKOANI TABORA

Aug 30, 2013

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aisalimiana na viongozi wa dini wa mkoa wa Tabora baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya siku tatu mkoani humo Agosti 29, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa (kushoto)  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege waTabora kwa ziara ya siku tatu  mkoani humo Agosti 29, 2013. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatuma Mwasa wakati alipokagua mradi wa matofali wa vijana wa  Pathfinder Green City katika kijiji cha Tulu wilayani Sikonge Agosti 29, 2013. Alikuwa katika ziaa ya siku tatu mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mradi wa matofali wa vijana wa  Pathfinder Green City katika kijiji cha Tulu wilayani Sikonge Agosti 29, 2013.Alikuwa katika ziara ya sikutatu mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª