Breaking News

Your Ad Spot

Sep 22, 2013

RAIS KIKWETE USO KWA USO NA SALMA MOSHI aka 'MAMA SALMA NYOKA'

  Rais Jakaya Kikwete akisalimiana  na  msanii maarufu nchini Tanzani, Salima  Moshi  ambaye pia Katibu  wa Itikadi na Uenezi   wa CCM   Tawi la  Washington DC, Virginia na Maryland, Rais alipotembelea Washington juzi 
 Mama Salma Moshi akipozi picha na Rais Jakaya Kikwete


 Salma Moshi akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages