Breaking News

Your Ad Spot

Sep 22, 2013

CHAMA CHA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM 'DABA' WAPATA VIONGOZI WAO

Baadhi ya viongozi waliochaguluwa kuendesha chama cha mchezo wa masumbwi Mkoa wa Dar es salaam DABA wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa uchaguzi huo Zuwena Kipingu  katikati pamoja na mwangalizi mkuu wa uchaguzi Remmy Ngabo kulia: Picha zaidi katika Uk. wetu wa Spoti BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages