Breaking News

Your Ad Spot

Sep 22, 2013

KAMA UNAMKUMBUKA MAREHEMU ABDULRAHMAN BABU

Leo 22 September ni siku aliyozaliwa Marehem Abdulrahman Babu
Tutazidi kuwakumbuka mashujaa  na wanamapinduzi wetu, Moja wao ni  mwanasiasa marehem Professor Abdulrahaman Mohemmed   Babu (RIP),mpiganaji,mwanaharakati,mwanasiasa,msomi,mwanaharakati ujamaa kwake ulikuwa ndio mfumo wa maisha.
Marehem Abdulrahman Mohammed Babu alizaliwa siku kama ya leo 22 September 1924 huko visiwani Zanzibar, kama angelikuwa hai leo angesherekea siku yake ya kuzaliwa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages