Breaking News

Your Ad Spot

Sep 22, 2013

HAPPINESS WATIMANYWA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA 2013

 Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akiwa na Mshindi wa pili Latifa Mohamed (kushoto) na mshindi wa tatu Clara Bayo, baada ya kutwaa taji hilo, usiku wa kuamkia leo.
 Warembo walitinga kumi bora
 Jaji Shah akimtangaza mshindi
Lady Jay Dee akitumbuiza wakati wa shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages