Eneo lililokuwa jengo maarufu la Salamandar likiwa limeshindikana kujengwa ghorofa, baada ya waliotaka kujenga eneo hilo kukumbana na chemichemi ya maji. Hali inayoonekana hapa ni baada ya wajenzi hao kulazimika kujaza tena kifusi ili kuyakabili maji hayo, kama mpigapicha wa mtandao huu alivyokuta leo.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269