Breaking News

Your Ad Spot

Sep 11, 2013

PINDA APATA MAVUNO MAKUBWA YA ZABIBU SHAMBANI KWAKE DODOMA

 Bibi Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013
.Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo PInda lililopo Zuzu mjini  Dodoma Septemba 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages