Breaking News

Your Ad Spot

Sep 21, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KARATU

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi  wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013.  Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo yaMkazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakitembelea maktaba yaShule ya Sekondari ya Banjika  ya wilayani Karatu ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Septemba 20, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji  katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages