Breaking News

Your Ad Spot

Oct 3, 2013

AKATA RASTA ZAKE KWA UCHUNGU WA KUFIWA NA MAMA YAKE

Rasta huyu wa Kawe jijini Dar es Salaam, leo amelazimika kunyoa rasta zake, baada ya kupata msiba wa mama yake mzazi, usiku wa kuamkia leo. Hapa ni katika Saluni  ya Mtazamo  iliyopo eneo la Hipro.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages