VIDEO: WATOTO WAOANA
WATOTO WAOANA HUKO DODOMA!
Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau.
Unaweza usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE kwa kuhudhuria na kufanya udadisi wa kina kwa familia, viongozi wa serikali na wanandoa wenyewe wachanga.
Video nzima iko hapa: http://youtu.be/rbSC2qVj4Ac
Your Ad Spot
Oct 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269