Breaking News

Your Ad Spot

Oct 28, 2013

AZAM FC YAMCHINJA MNYAMA 2-1

Beki wa Azam FC, David Mwantika (kulia), akichuana na mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-1. 
 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki akiwatoka mabeki wa Azam FC.
 Ramadhani Singano (kushoto), akimtoka David Mwantika.
 Wachezaji wa timu ya Azam wakishangilia bao la pili la timu yao baada ya kuifunga Simba 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyikakwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-1. 
 Mashabiki wa Simba wakiwa wameduwaa huku wakifuatilia mchezo kati ya Simba na Azam FC.
 Kipa wa Azam FC, Mwadin Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Sino Augustino.
Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher (kulia), akiwania mpira na wachezaji wa Azam FC, Kipre Tchetche na David Mwantika. PICHA KWA HISANI YA FRANCIS DANDE

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages