Breaking News

Your Ad Spot

Oct 28, 2013

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 59 ZA UJENZI WA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA PUGU KAJIUNGENI,DAR


 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Jesca Njau (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 59, Meneja wa Kampuni ya Mrisho Drilling Water, Omari Mtundu kwa ajili gharama ya kuchimba kisima cha maji katika Kituo cha Afya cha Pugu Kajiungeni, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Anayeshudia katikati ni Mganga Mkuu wa Kituo hicho, Dk. Honest Lyimo.

 Mama mjamzito mkazi wa Pugu Kajiungeni, Resistuta Ernest akishukuru baada TBL kutoa msaada huo

 Baadhi ya majengo ya Kituo hicho cha afya cha Pugu Kajiungeni

 Dk. Lyimo akionesha sehemu patakapochimbwa kisima

Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu akielezea mipango ya TBL kusaidia kutatua tatizo sugu la maji katika sekta ya afya, Dar es Salaam.Kushoto ni Dk. Lyimo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages