Breaking News

Your Ad Spot

Oct 4, 2013

BM HAIR & BEAUTY CLINIC YATIMIZA MIAKA 12 YA UTENDAJI WAKE, ILIANZA NA WAFANYAKAZI WATATU SASAWAPO 40

 
1Benno Chelele Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic akizungumza na waandishi wa habari jana wakati akielezea mafanikio na changamoto ambazo wamekutana nazo katika kufikia mafanikio yao katika hafla ya kampuni hiyo kutimiza miaka 12 tangu kuanzishwa kwake, ambapo ilianza na wafanyakazi watatu na mpaka sasa imefikisha wafanyakazi 40 huku ikiwa ni mpiango ya kupanua huduma zake zaidi kwa kuzipeleka mikoani na baadae Afrika Mashariki kwa ujumla, Kampuni hiyo pia ina mipango ya muda mrefu ya kutekeleza mradi wa jengo kubwa la ghorofa utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni mbili, Hafla hiyo imefanyika jana kwenye ofisi zao zilizoko Kinondoni kwa Manyanya jijini Dar es salaam (PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) 2Hizi ni baadhi ya mashine za kutolea huduma katika saluni hiyo 3hili ni duka lililomo ndani ya saluni hiyo 4 6Keki ilikuwa hivi 7Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele akitoa neno la shukurani kwa wafanyakazi na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu ambaye pia ni mke wake kushoto. 8Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu wakitoa zawadi kwa mmoja wa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo Bernald Samwel. 9Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu wakitoa zawadi kwa mmoja wa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo Diana Kyaruzi 10Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu wakitoa zawadi kwa mmoja wa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo Bernald Samwel.Hassan Rashid 11Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu wakitoa zawadi kwa mmoja wa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo Regina Mahenga 12wafanyakazi wa kampuni hiyo wakifungua chupa za mvinyo (Champagne) wakati wa hafla hiyo. 13Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu pamoja na wafanyakazi wakinyanua glasi za mvinyo juu kama ishara ya kusherehekea miaka 12 ya kampuni yao. 14Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu pamoja na baadhi ya wafanyakzi wakikata keki kusherehekea kampuni hiyo kutimiza miaka 12 ya utendaji wake. 16Mkurugenzi wa kampuni hiyo Benno Chelele kulia na Mkurugenzi mwenzake Magreth Makungu ambaye pia ni mke wake wakilishana keki kama ishara ya kusherehekea kampuni yao kutimiza miaka 12 ya utendaji wake katika hafla iliyofanyika ofisini kwa Kionondoni kwa Manyanya.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages