Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe
kuzindua rasmi Gati la Mafia iliyojengwa wilayani Mafia leo.Kushoto ni Waziri
wa Uchukuzi Dkt.Harrison Mwakyembe,Wapili kushoto ni Mbunge wa Mafia Mheshimiwa
Abdul Karim Shad,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Bwani Bi.Mwantum Mahiza na
kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembea kwenye Gati la
Mafia lenye urefu wa kilometa moja na nusu muda mfupi baada ya kuifungua rsmi
mjini Mafia leo.Weninge katika picha kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Bi.Mwantumu Mahiza,Wapili kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wanne
kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mafia Bi.Sauda Mtondoo na kulia ni mbunge wa Mafia
Mhe.Abdul Karim Shad.Gati ya Mafia iliyofunguliwa rasmi na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mjini Mafia leo (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269