Breaking News

Your Ad Spot

Oct 18, 2013

PINDA ATEMBELEA BANDA LA SILAHA ZA KIVITA BEIJING CHINA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaru na silaha nyingine za  kivita  wakati  alipotembelea   banda  la kunadi silaha mbalimbali  za kivita zinazotengenezwa na kampuni ya NORINCO  nje kidogo ya  Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza baada  ya kutembelea kampuni ya  Aluminium Corporation of China , Beijing akiwa katika  ziara ya kikazi  nchini China Oktoba 18, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages