Waziri Mkuu akiwapungia wananchi wa Kigoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku sita mkoani humo Oktoba 1, 2013.Kulia kwake ni mkewe Tunu na Kushoto ni Mkuu wa mkoa huo, Luteni Kanali, Issa Machibya . Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Dr. Walid Kaborou.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kigoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku sita Oktoba 1, 2013
Wanawake wa Kigoma wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku sita Oktoba 1, 2013. (Picha zote na Ofisi ya waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Oct 1, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269