Breaking News

Your Ad Spot

Oct 19, 2013

PINDA NA UJUMBE WAKE WAFIKA SHENZHEN CHINA

 Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wkati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
 Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wkati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahmani Shimbo. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembeleaSheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages