Breaking News

Your Ad Spot

Oct 6, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME WILAYA YA KISARAWE MKOA WA PWANI

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mradi wa Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga leo mchana. Wanne kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo,Watatu kushoto ni Mbunge wa Kisarawe Mhe.Athumani Jaffo, Kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO,Mhandisi Felchesmi Mramba na kulia ni Mama Salma Kikwete. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages