Breaking News

Your Ad Spot

Oct 28, 2013

RAIS KIKWETE APEWA TUZO YA KUENDELEZA ELIMU NCHINI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya WAMA Nakayama, ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau akimkabidhi tuzo Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa mchango wake wa kuimarisha elimu nchini wakati wa mhafali ya kwanza ya Shule ya Sekondari ya WAMA Nakayama iliyofanyika, Nyamisati, Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani Mwishoni mwa wiki.Kuliua ni Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages