Breaking News

Your Ad Spot

Oct 25, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA AWAMU YA NNE UTAFUTAJI MAFUTA BAHARINI

Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Nne wa Kugawa Vitalu vya Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini katika Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages