.

TAKWIMU KUHUSU PATO LA TAIFA

Oct 21, 2013

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke  akielezea kwa waandisi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam juu ya ukuaji wa shughuli za uchumi za kilimo zilivyokua kwa kasi ya asilimia 5.3 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2013 ikilinganishwa na asilimia 5.1 katika kipindi kama hicho mwaka 2012. (Picha na  Eliphace  Marwa - MAELEZO): Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª