Breaking News

Your Ad Spot

Oct 21, 2013

VIDEO: WANAWAKE LIVE - MUME ALIYEMTAKA MKEWE KINYUME CHA MAUMBILELIO!

Vitendo vya ukatili wa kijinsia viko vingi na vya aina tofauti tofauti. Kuna wanawake wengine wanafanyiwa vitendo hivi bila kujua kuwa ni kinyume cha sheria na taratibu zilizopo. Sikiliza kisa hiki ambacho sisi tunakiona kama ni sehemu ya ukatili unaofanywa na wanaume wengi kwa wanawake wao. Bi Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma ni mmoja wa wanawake waliokutwa na mkasa wa kulazimishwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Fuatilia mkasa huu kwenye video hapa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages