Breaking News

Your Ad Spot

Oct 7, 2013

TBL YATOA MSAADA WA SH.MIL.35 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA KIBADA,KIGAMBONI,DAR


Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wilaya ya Temeke, Patrick
Swai (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 35,
Mhandisi wa Kampuni ya Drima Drima Drilling, Amiri Msangi kwa ajili ya
gharama ya uchimbaji wa kisima cha maji katika Zahanati ya Kibada
iliyopo Kingamboni Dar es Salaam. Anayeshudia makabidhiano hayo
yaliyofanyika juzi katika zahanati hiyo ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati
hiyo Dk. Isabela Ipopo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages