Breaking News

Your Ad Spot

Oct 7, 2013

WAALIKWA KATIKA MKUTANO WA SITA WA VYAMA VILIVYOKUWA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA WAANZA KUWASILI JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akimlaki Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. Katikati ni Balozi wa China hapa nchini, Lu Youqing.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akimlaki Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. Kushoto ni Balozi wa China hapa nchini, Lu Youqing.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akiwa na mgeni wakei Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika.
 "PANDA GARI HILI" Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akimwelekeza  kupanda gari Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika.
Msafara ukiondoka kwenda mjini
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi cha Angola, MPLA, Julio Mateus Paulo, baada ya mgeni huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam, jioni hii

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages