Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2013

KIJANA POTEWA BABA YAKE MZAZI, HATA AKIMUONA HAWEZI KUMJUA!!!



Cosmas Hans Moses (pichani) mwenye umri wa miaka 22, na dada yangu anaitwa Aneth Hans Moses (24), kwa sasa naishi mwanza..
Ninamtafuta ni Baba yetu mzazi anaitwa Hans Moses Mwakyusa, zamani alikua anaishi Kiabakari Musoma vijijini na huko ndiko tulikopotezana mimi nikiwa mdogo kabisa kwa hiyo simfaham hata nikimuona... Kwa sasa nasikia anaishi Kyela Mbeya pia ni mfanya biashara ila cjui anafanya biashara gani. Naomba msaada wenu ili niweze kuonana tena na baba yangu mzazi mawasiliano yangu ni 0765-684572

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages