Breaking News

Your Ad Spot

Nov 11, 2013

WAZIRI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA UINGEREZA AZURU TBL DAR


 Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzche (kulia) alipotembelea Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ambapo walizungumzia tatizo la maji na jinsi ya kusaidia kulitatua.



 Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Jumanne Magembe wakati wa ziara yake Makao Makuu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ambapo walizungumzia tatizo la maji na jinsi ya kusaidia kulitatua.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Goetzche (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Maji, Profesa Maghembe

Goetzche akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko

Wazri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening akiongoza na Meneja Udhibiti wa Viwango wa TBL, Conchesta Ngaiza alipotembelea kampuni hiyo.

Ujumbe alioongozana nao Waziri Greening ukitembelea Makao Makuu ya TBL.

Waziri Greening akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa bia kwa njia ya kisasa alipotembelea kampuni ya TBL.

MD wa TBL, Goetzche (kulia) akitelezea kuhusu utendaji wa kiwanda cha TBL mbele ya Greening na Profesa Maghembe

Greening akiangalia shayiri inayotumika kutengenezea bia TBL

Greening (kulia)  na ujumbe wake wakiwa katika mkutano wa kujadili tatizo la maji

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (kulia), akielezea tatizo la nchini mbele ya Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening.Uingereza inasaidia kupunguza tatizo la maji nchini.

Justine Greening akielezea jinsi serikali yake ilivyojizatiti kusaidia kupunguza tatizo la maji

Greening akinywa bia aina ya Castle Lite inayozalishwa na TBL

Greening akiwa katika picha ya pamoja na Profesa Mghembe (kulia) na baadhi ya viongozi wa TBL

Greenini akihojiwa na wanahabari

Profesa Mghembe akihojiwa na wanahabari baada ya ziara hiyo kumalizika

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages