Breaking News

Your Ad Spot

Nov 30, 2013

KINANA ALIPORNDIMA MBOZI



 Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinana akitoka katika nyumba ya mjumbe namba nane, eneo la Mtunduru, wilayani Mbozi, Hongera Myola, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishirki ujenzi wa nyumba ya mganga katika Hospitali ya Isansa, katika Kata ya Mtunduru, wilayani Mbozi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013. Nyuma yake ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishirki ujenzi wa nyumba ya mganga katika Hospitali ya Isansa, katika Kata ya Mtunduru, wilayani Mbozi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013. Nyuma yake ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akiongoza kupanda miti kwenye eneo la Mtundulu, wilayani Mbozi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013. Wengine ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro(kulia), Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimartaifa, Dk. Asha-Rose Migiro,  Mbunge wa Mbozi na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Godfrey Zambi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
 Kijana Huruma William, akimuonyesha 'machejo' ya sarakasi Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (watatu kushoto), alipofika katika kata ya Mtunduru, kuzindua mradi wa ujenzi wa nyumba ya mganga katika hospitali ya Kata hiyo, wilayani Mbozi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013.
 Wasichana na Kinamama wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipowasili katika Kata ya Mtundulu wilayani Mbozi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro, akihutubia wananchi, katika Kijiji cha Isansa, Kata ya Vwawa wilayani Mbozi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipozindua miradi ya maendeleo katika Kata hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013.
 atibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza katika Kata ya Vwawa, wilayani Mbozi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara, uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi katika Kata ya Vwawa, wilayani Mbozi, katika ziara ya katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013
 Wananchi hadi barabarani kumsikiliza Kinana
Mama wa Kinyiha, akiwa amejipamba usoni na kuwa kivutio cha aina yake, kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, aliofanya katika Kata ya Vwawa, wilayani Mbozi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wanannchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Mbeya, Nov 29, 2013.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages