Breaking News

Your Ad Spot

Nov 17, 2013

KINANA AMALIZA ZIARA TUNDURU KWA KISHINDO, KUANZA LEO NAMTUMBO

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
 Wananchi wa Mjini Tunduru mkoani Ruvuma wakimshangilia, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia maelfu ya wananchi hao katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifungua Ofisi ya CCM kata ya Jakika, wilayani Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akisalimia wananchi wa kata ya  Jakika, wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya CCM ya kata hiyo, uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
 Wananchi katika Kata ya Jakika, wilayani Tunduru, wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) alipozungumza nao baada ya kufungua Ofisi ya CCM ya Kata hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
 Saidi Hassani akiwa amembeba mtoto wake, Arafa Hassani (2) aliyekuwa akichapa isingizi mabegani, wakati baba yake akiendelea kusikiliza kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (hayupo pichani) aliyewahutubia wananchi baada ya kufungua tawi la CCM Kata ya Jakika, wilayani Tunduru,  akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitia moto kwenye tanuru kuanzisha uchomaji matofali kwa ajili ya Ofisi ya Mtendaji katika Kata ya Jakika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013. Kulia anayeelekeza ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhisiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikagua shughuli za ubanguaji korosho katika kiwanda cha Korosho Afrika, kilichopo nje kidogo ya mji mdogo wa Tunduru mkoani Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013. Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakifurahiwa na wanafunzi katika shule ya sekondari Mgomba, wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aliyefuatana na viongozi hao, kukagua ujenzi wa jengo la maabara ya shule hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye wakishiriki katika kupiga lipu jengo la maabara katika shuke ya sekondari Mgomba, wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Nov 16, 2013.Imetayarishwa  na theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages