Breaking News

Your Ad Spot

Nov 24, 2013

MAELFU WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA ALPHA NEWA


Aliyekuwa mfanyakazi wa  Benki ya Barclays, Alpha Alfred Newa enzi za uhai wake. Alpha aliuawa kwa kupigwa risasi na Gabriel Munisi Novemba 19 Ilala Bungoni na mwili wake kuzikwa katika shamba la familia huko Goba jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Baadhi ya waombolezaji.
 Baba mzazi wa Francis Shumila (katikati), Shumila ambaye alikuwa shemeji yake Alpha a;iuawawa katika shambulio hilo.  Kushoto ni mama yake marehemu Francis Shumila.
 Baadhi ya ndugu na jama wakipata chakula kabla ya kuanza zoezi la kuaga mwili.


 Wazazi wa marehemu, Kaptaini Francis Shumila wakiwa msibani.
 Ndugu wa marehemu Alpha Newa.
 Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu, Alpha Afred Newa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mbezi Beach.
Dada wa marehemu Alpha Newa, Christina Newa 'Nando' (katikati) akipata msaada kutoka kwa ndugu baada ya mwili wa mdogo wake kuwasili nyumbani. 
Baadhi ya ndugu na wafanyakazi wa NSSF wakimfariji Carloyne Newa ambaye ni dada wa marehemu Alpha .
 Mwili wa Alpha ukishushwa  kaburini wakati wa mazishi yake.
Mwili ukishushwa kaburini.
 Wanafamilia weke weka udogo katika kaburi la Alpha kama ishara ya kumuaga.
 Padri akiwa na mama mzazi wa Alpha.
 Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mbezi Beach akiweka shada la maua.
Mama wa marehemu, Ellen Newa akiweka shada la maua.
Joseph John ambaye ni mume wa marehemu Alpha Newa akiweka shada la maua.
 Mtoto wa marwehemu, Ellen Alpha Alfred Newa akiweka shada la maua.
 Christina Newa akisindikizwa kuweka shada la maua.
 Ellen ambaye ni mtoto wa marehemu akiwa mbele ya kaburi la mama yake marehemu Alpha.
 Ellen akiwa na baba yake. 
 Joseph John akiwa na watoto wa marehemu, Olga ambaye ana umri wa miaka 4 (kushoto) na Elvis (6) kulia na dada yao Hellen.
Wafanyakazi wa NSSF wakimfariji mfanyakazi mwezao, Carloyne Newa baada ya kufiwa na mdogo wake Alpha Newa.
 Dada wa marehemu, Carloyne Newa  akiwasha mshumaa katika kaburi la Alpha.
 Kaka wa marehemu, Mloyi Newa akitoa wasifu wa marehemu pamoja na kuwashukuru wote walofanikisha mazishi ya marehemu Alpha Newa.
Mtoto wa marehemu, akiimba utenzi baada ya mazishi ya mama yake. 
Familia ya marehemu Alpha Newa.
Mume wa marehemu, Joseph John akiwa mtoto wake Ellen. 
 Baadhi ya marafiki kutoka Zanzibar na maeneo mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya kaburi la Alpha Newa baada ya mazishi yake.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages