Breaking News

Your Ad Spot

Nov 15, 2013

MAELFU YA WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE MSAFARA WA KINANA MKOANI RUVUMA

Wananchi katika Kata ya Nakapanya, wilayani Tunduru, wakimshangilia kwa furaha, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (anayepunga mkono, kushoto), baada ya kuwasili katika kata hiyo, mkoani Ruvuma akitokea, Masasi mkoani Mtwara, Nov. 14, 2013.
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ramo Matalla Makani, akisalimia mamia ya wananchi wa Kata ya Nakapanya, wilayani Tunduru mkoani Ruvyuma, baada ya kutambulishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo, Nov. 14, 2013

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages