Breaking News

Your Ad Spot

Nov 18, 2013

PINDA AMZIKA DK. SENGONDO MVUNGI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana  na Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande (kuhoto) na Rais wa Mahakama ya afrika Jaji  Sophia Kuffo kabla ya  kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Askofu wa Jimbo, Geita Dmiano  Dallu akifukiza ubani mwili wa Dr. Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika  kijijini kwa marehemu, Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo pInda akiweka shada la maua katika jeneza la marehemu Dr. Edmund Mvungi kabla ya azishi yaliyofanyika kijijini  kwa marehemu Chanjale  wilayani Mwanga Novemba 18, 2013
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Dr.Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages